Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,395
- 6,556
Haya ni mauaji ya kimbariKila story ushoga/ nidhamu ya uoga/ au unatangaza soko/
Tujue unatoga/ mtoto ni mboga/ ile Kiarabu koko/
Acha soga/ umeshaniroga/ nikupige kimoko/
Si utaoga/ na ukishanipa boga/ sitafanya unoko/
Umeweka maji wazi tunanawa bila ganzi mtoto wali nazi nakupanda kama ngazi/
Usitangaze ubazazi naonekana ustadhi utanishusha hadhi wakijua wazi nimekupakua mbaazi/
Imeshakuwa ndefu meku nipe mambo yetu peku kama Mpoto/
Nakudeku unavyo 'repu' mwanakwetu unataka moto/
Game imekupuuza, stanza sio kuvaa wigi/
Ni wazi unajichuuza, kujaribu hii ligi/
Wanasema Mvumbo punguza, konokono hawezi hii speed/
Sasa badala ya kujifunza, unaleta mdomo kama Gigy/
wanaosema mvumbo punguza ni watoto mwenzio/Kila story ushoga/ nidhamu ya uoga/ au unatangaza soko/
Tujue unatoga/ mtoto ni mboga/ ile Kiarabu koko/
Acha soga/ umeshaniroga/ nikupige kimoko/
Si utaoga/ na ukishanipa boga/ sitafanya unoko/
Umeweka maji wazi tunanawa bila ganzi mtoto wali nazi nakupanda kama ngazi/
Usitangaze ubazazi naonekana ustadhi utanishusha hadhi wakijua wazi nimekupakua mbaazi/
Imeshakuwa ndefu meku nipe mambo yetu peku kama Mpoto/
Nakudeku unavyo 'repu' mwanakwetu unataka moto/
Game imekupuuza, stanza sio kuvaa wigi/
Ni wazi unajichuuza, kujaribu hii ligi/
Wanasema Mvumbo punguza, konokono hawezi hii speed/
Sasa badala ya kujifunza, unaleta mdomo kama Gigy/
kanikill kikatili sanaHaya ni mauaji ya kimbari
Ni zaidi ya utamu unaopata kwenye kashata👊huwa naanza na jamiiforum/kila nanapowasha data inanifanya vitu vingi nifahamu/na habari nyingi kuzipata jamiiforums ni zaidi ya utamu/unaoupata kwenye kashata yaani mpaka sizisikii salamu/za majirani zangu wanaonipita wanahisi labda sina nidhamu/pengine nimeshaanza kunata kumbe jambo wasilofahamu/kuna madini mengi ninayapata mpaka nakosa kabisa hamu/muda wa chakula unanipita kwaleo acha nishushe kalamu/nikaperuzi kidogo na insta japokua mistari haipo timamu/wala sishindwi kuweka nukta
Anajua napenda chini, kama magurudumu/#Miss valentine challenge
Hapendi pombe, ingawa anaguu la bia..|
Bonge la shombe, anajua kujitupia..|
Hahitaji wapambe, mahitaji yote namtimizia..|
Hataki niwe mnyonge, yuko radhi agongwe ili nivuke njia..|
Sina wenge, na magenge yanayomvizia..|
Moyo kaugeza ngome, mi mfalme yeye ndio malkia..|
Penzi lake tamu, haikati hamu/ napenda kuona lake tabasamu..|
Mambo ya umbea hayapi taimu, anajua kukosea ni tabia ya binadamu..|
Ananipa denda, ili niache kupenda sigara..|
Nikikosea tunayajenga, hanaga papara..|
Kutuachanisha, ni kupanda mchicha kwenye jangwa la sahara..|
maji ya gundu Mvumbo Scars
Haha noma sanaAnajua napenda chini, kama magurudumu/
Na bado ananiamini, kimwana hanihukumu/
Popote yupo na mimi, kama pusha na ndumu/
Ndio maana wafitini, wanakwenda kumwaga sumu/
Moyoni muhimu/mweupe zaidi ya rim/ na shepu ya stim/ napata wazimu/
Bed ni mwalimu/ hanikim/ na kila saa simu/ na nikitia timu/ ni vitu adim/
Ya nini nimuhonge gari, na atakapo namfikisha/
Siogopi kutoa mahari, acha nimvute kama Shisha/
Hahaha nani huyoNi mtoto mkali Jf anacomment kimombo/
Pm nikatema asali kidume anipe uhondo/
Akashindwa kukubali eti sina michongo/
Nyuzi za ujasiriamali sionekani kutema nondo/
Huenda ni waya mkali akazidi tema nyongo/
Eti sijadili magari kama wakina RRONDO/
Nipo nyuzi za kamari na Odds za uongo/
Na uzi wa Freestyle nikipigana tu madongo/
Sina issue/ jasho sina tishu/ vipi niopoe kisu/
Hawezi sema I miss U/ dah! aminikifu/ moyoni risasi kama Lissu/
Karata zake amezipanga vibaya/ Mvumbo kwenye noti madogo nawa Inspire/
Fuba haionyeshwi kama Kwaya/ na ukiiabudu tunakuona malaya/
Mambo ya ring on da finger ni baadae,Mwinda pole hula nyama, ilo nakataa..|
Nishawinda pole na sikukuta nyama wala dagaa..|
Mi ndo big star ambaye sishi dar..|
Hata nikikosa bar, siingidaa bora ninywe chang'aa..|