[emoji419]Upendo umefika mwisho, wapendanao wanajinyonga/
Wengine ni vitisho, kama mikwara ya Mandonga/
Hakuna upatanisho, kila mmoja anachonga/
Kifo ndio hitimisho, hata kama alikukonga/
Unaempenda hakupendi kama uteja wa unga/
Usiye mpenda haendi kama kamba umemfunga/
Dharau haijengi siyo tofari la nyumba/
Mapenzi yana mengi bwana mdogo chunga/
Mnunulie simu wenzako wampe vocha/
Jifanye mwalimu ajifanye kocha/
Mpe za kujikimu akakufanye ndondocha/
Yanakata stimu mapenzi ulofa/
Hiyo bastola unayonunua, haitaua kabisa vibaka/
Bali mwenyewe utajiua, utakapokuta mkeo wamempakata/
Wachache wana mapenzi ila tenzi kuwapata/ hauwezi bila Mwenyezi utadata/ kindezi kisa penzi atakukamata/
Kwa mwenye Benz atakuacha/ hauna malezi linavuja pakacha/ hata uwe mbezi na pesa ya kutakata/ bado utafanyiwa ushenzi kwa muuza kashata/
Ule muda unasaka mahitaji, ili Family njaa isijelala/
Wife yupo kifuani kwa mshikaji, huku akikuita fala/
Mapenzi hayana Falsafa, hata uwe umesoma sana/
Mapenzi yanaleta maafa, sio Tarime mpaka Tanga wanauwana/
Unavo chana madogo wanakimbia/Usilete busara kwenye vita../
Ukitaka utajiri wa kimasihara, jitoe kafara 666../
Kila idara napewa sifa, kama simba wa mbagara anavyoshine insta../
Na bado sitaki ustar, wala machawa kabsa../
Nachohitaji ni kufika far, nakuona hip-pop inapaa kimataifa../
Sina info za michapo kama mange../
Ila nina bonge la nako so wenye punch-laini wajipange../
Namwaga madini, underground muyapande/
Umeni-poke nikakubali nimejileta,Penye amani upendo unatanda..|
Tangu zamani hawagusi hizi anga..|
Veteran kwenye huu mziki usiobamba..|
Underground nae-shine gizani kama shetani au mwanga..|
Nalinda culture utasema bowseman wakanda..|
Masera Vichwa maji na mimi haziivi/
Ni sawa na kum-compare De Opera na prof shivji/
Kunidisi sio rahisi kama kukata div/
We endelea kutema shit utadhani chizi..|
Ila jua huniwezi ata uvae hirizi..|
Huwezi badili mwendo hata uvae buti..|
Unajiona tembo wakati unapigo za pusy pusy..|
Kiufupi na kuona mrembo yaan byuti byuti..| (na)
ukitaka skendo nakugeuza amberuty..|
Anytime niko tayari kutema mistari/Umeni-poke nikakubali nimejileta,
ku-check tungo yaani zote ni utata,
umeshuka kiustadi na matata,
napiga mbinja kiukweli umenipata.
Wasanii hawana budi kukufata,
maujuzi mistari unavoikata,
nasema waje tu haraka wasije nyata,
wasichelewe iskariot tamkuta.
😅😅 You killin! 🙌🏾Anytime niko tayari kutema mistari/
navyowachana utasema mpo hospitali kufanya surgery/
Natem punch-lain ila ni heavy zaidi ya jabari/
Amini Usipoelewa haya madini we ni ndezi kama mjomba nchomar/
Hii nimechelewa kuiona, kama kobe kwenye Mfungo/
Maji ya gundu maji mfu, ni maji ya maiti/mvumbo fumbo la rap nalifumbua kikatili/
ya gundu nshatua kwa map kukuumbua nyoko mbili/
we ni mtoto kwa rap umepotea chocho hili/
nshazipata za chap unaugua bawasiri/
eti utabaki juu labda kwene mashine mzungu/
jichanganye useme suu nikupasue map*mbu/
usibaki upande huu ukiskia ya gundu/
nilipanga kukuzika ila nmemwachia Mungu/
salamu sio heshima ata mashoga hufanya/Maji ya gundu maji mfu, ni maji ya maiti/
Haufai kurusha turufu, ushazikwa saiti/
Vipi kinyago wa sufu, anitishe Mwenye kiti/
Hata uumbwe maradufu, huuwezi huu mziki/
Una vya kitoto vina, Mvumbo natupa kule/
Niamkie kwa heshima, kama nakupa hela ya shule/
Kila story ushoga/ nidhamu ya uoga/ au unatangaza soko/salamu sio heshima ata mashoga hufanya/
nimerudi tena kwa vina bwana mdogo kukukanya/
mi ndo title la hii rap huna kipya cha kufanya/
unajitia ununda ila kwa ndani unahanya/
mwenye kiti mwenye siti chukua kiti kalia/
mwenye beat leta kati huyu mtoto atalia/
mwenye kiti mwenye dhiki ukiweza kimbia/
sina kick kwene hiki niko fiti ukiniona potea/
Ooooiii[emoji441][emoji441][emoji441][emoji442]Wanajiita Visit vibonde..|
Waana kocha la misifa gadiola kibonge|
Logo inatisha ila mpira wa kinyonge..|
Jana wametandikwa kimoko cha ng'ombe..|