Jengo linang'aa kama theluji/
Ngumu kumeza, kama chupa ya Gongo/ngumu kumeza, rahisi kueleza/
na bila ndumu huwezi kuicheza/
wanaoibeza wamezoea bongo fleva/
wengine wanaiita hardcore, cause wanapenda zile za kusifia tako/
Na me nazdi kuwatupia nako2nako/
nawapa mistari adimu zaidi ya jaco, halaf kichwani na elimu utasema ndalichako../
Mambo bado nuksi, nani sauti apaze/Amri hawakutii walitaka kujiunga Nato/
Ghafla zikasikika R.P.G na vifaru vya kushato/
Kuonyesha ahofii Ukraine akajibu Battle/
Alijua atakuwa free Javelin hizo hapo/
Ambush kiwanda cha chuma nyani akatema bungo/
Warusi walisema hakuna kujikuna wala kurusha ungo/
Raia walitia huruma amani ilikuwa fumbo/
Mtaani zimekata huduma hakuna aliyefikiria tumbo/
Risasi na Maguruneti/ visasi na kutest/ wakaasi Mabest/ wasi wasi kwa Zelensky/
Madege yasiyo na rubani/ wakapandisha mlege wahisani/
Vikwazo kede himayani/ wese sio mbege ona shida duniani/
Kila kitu bei juu Nchi zote wanalia/
Uturuki wanapikia vifuu nini kwa Mama Samia/
US hakuna bei nafuu haitoshi Dollar mia/
Na wakisema suu inasukumwa Nyukilia/
Bongo zozo/ Nchi ya Tozo/ Wabunge wa Muongozo/ bora liende/Bongo michosho na uozo, sipapendi kabisa
Kuishi nikuw bongozozo, sio kabisa
Watoto wanawaza utelezi, kupelekeana moto
Kichwan bongo ni mapenzi, kupelekeana moto
Mara ipi sexual fantasy, mara tunda kimasihara
Jana tupean nafasi, wataweka kodi mpka za nyara zetuu.
Mkwaju wa nani mzeeNimejikuta tu nipo kwenye hii sayari, aliyenileta hakuwa na mpango wa kujua kama nipo tayari....
Ila kanifunza mengi kanifunza kukwepa hatari, kanifunza jinsi maneno ya watu yanavyoeza kugeuka bikari...
Now nimeijua dunia kwa namna tofauti, ukiwa fair chochote utachokitaka haikupi....
Upo duniani kwa kusudi, so nenda sawa na muda maana ukikuacha haurudi...
Hiyo ni freestyleMkwaju wa nani mzee
Kama umewahi record shea hata ngoma moja inbox....tuenjoyHiyo ni freestyle
Hapana mi sio msanii ila nachana for fun tuKama umewahi record shea hata ngoma moja inbox....tuenjoy
Ndugu Mwandishi Unawadhimu, Bila Shaka Umetumwa/ Uyu mtoto wa Salumu, Kwenye 18 Ashafumwa/mill 3 tu Ataki Anywe Sumu/ Mbaka 24 Ndo Anatemwa/Eti Wanapanga Kutuhujumu, si Quba Ndo Tulisoma/ Zitabaki Kuwa fununu, Dg msamaha Ashatuomba/ Wanajangwani tukomae umumu, Na tripu ii π yote tunayakomba.ππHabari zilizovuma leo jukwaani
Umepitwa na jukwaa la michezo, huko hakuna mapenzi na habari za chombezo..../
Si unajua soka letu tupo msimu wa usajili, tetesi kibao kila mmoja kawq mbashiri.../
Sasa acha nikupashe yale yaliyojiri, naanza na taarifa ya mapema iliyokuja alfajiri.../
Habari iliripotiwa na Shafii Dauda, niliipata wakati nikiwa vingunguti barakuda.../
Ikidai Azam na Feisal mambo yameenda guda, na sasa kuondoka Yanga rasmi ni swala tu la muda.../