Upendo hakuna wameweka pesa mbele..//Upendo umefika mwisho, wapendanao wanajinyonga/
Wengine ni vitisho, kama mikwara ya Mandonga/
Hakuna upatanisho, kila mmoja anachonga/
Kifo ndio hitimisho, hata kama alikukonga/
Unaempenda hakupendi kama uteja wa unga/
Usiye mpenda haendi kama kamba umemfunga/
Dharau haijengi siyo tofari la nyumba/
Mapenzi yana mengi bwana mdogo chunga/
Mnunulie simu wenzako wampe vocha/
Jifanye mwalimu ajifanye kocha/
Mpe za kujikimu akakufanye ndondocha/
Yanakata stimu mapenzi ulofa/
Hiyo bastola unayonunua, haitaua kabisa vibaka/
Bali mwenyewe utajiua, utakapokuta mkeo wamempakata/
Wachache wana mapenzi ila tenzi kuwapata/ hauwezi bila Mwenyezi utadata/ kindezi kisa penzi atakukamata/
Kwa mwenye Benz atakuacha/ hauna malezi linavuja pakacha/ hata uwe mbezi na pesa ya kutakata/ bado utafanyiwa ushenzi kwa muuza kashata/
Ule muda unasaka mahitaji, ili Family njaa isijelala/
Wife yupo kifuani kwa mshikaji, huku akikuita fala/
Mapenzi hayana Falsafa, hata uwe umesoma sana/
Mapenzi yanaleta maafa, sio Tarime mpaka Tanga wanauwana/
Spika naomba mwongozo/ wametushika watoza tozo/ tunahangaika huu uozo/ wao wameshika Gozo/Mtaani vitu vinapanda tu, kula nyama mpaka siku kuu /
Mafuta bei juu, bora utembee kwa miguu/
Hali taabani kwa kila mtu, viongozi wanajali mali kuliko utu/
Kila sehemu, Uchawa na ushushu umekua ishu kama atm/
Back to the game, me sio size ya marapa wenu/
HatariUpendo umefika mwisho, wapendanao wanajinyonga/
Wengine ni vitisho, kama mikwara ya Mandonga/
Hakuna upatanisho, kila mmoja anachonga/
Kifo ndio hitimisho, hata kama alikukonga/
Unaempenda hakupendi kama uteja wa unga/
Usiye mpenda haendi kama kamba umemfunga/
Dharau haijengi siyo tofari la nyumba/
Mapenzi yana mengi bwana mdogo chunga/
Mnunulie simu wenzako wampe vocha/
Jifanye mwalimu ajifanye kocha/
Mpe za kujikimu akakufanye ndondocha/
Yanakata stimu mapenzi ulofa/
Hiyo bastola unayonunua, haitaua kabisa vibaka/
Bali mwenyewe utajiua, utakapokuta mkeo wamempakata/
Wachache wana mapenzi ila tenzi kuwapata/ hauwezi bila Mwenyezi utadata/ kindezi kisa penzi atakukamata/
Kwa mwenye Benz atakuacha/ hauna malezi linavuja pakacha/ hata uwe mbezi na pesa ya kutakata/ bado utafanyiwa ushenzi kwa muuza kashata/
Ule muda unasaka mahitaji, ili Family njaa isijelala/
Wife yupo kifuani kwa mshikaji, huku akikuita fala/
Mapenzi hayana Falsafa, hata uwe umesoma sana/
Mapenzi yanaleta maafa, sio Tarime mpaka Tanga wanauwana/
.Hii sio mada/ ya siasa au anasa/ ili watoto wachangie/
huwezi ona makada/ warembo wa kisasa/ wanataka za "njoo ubambie"/
Hakuna ada/ ila vipi wajaze kurasa/ lazima wakimbie/
Juu kama KISHADA/ Mvumbo nawanyanyasa/ ni vipi niwahurumie/
Nachoma dawa/ nakohoa nipo sawa/ wanapagawa wanaandika mashudu/
Hawana power/ nawanawa hawa chawa/ nawachinja kibudu/
Ukiwa msomaji, utaonekana mzugaji/Trap trap trip trip trip,
Vua chupi, Nifungue zip,
Nikupe cha chap, tipige nap,..
Mi nitawaalibia tu ngoja nibaki msomaji