U UKAWA2 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2014 Posts 2,182 Reaction score 1,972 Apr 1, 2015 #2 Kweli jamani kuna tofauti kubwa sana ktk maisha ukiangalia miamvuli ya hapo juu kisha ukaangalia huu wa huyu jamaa wa hapa chini mwisho utalijua hilo vizuri.
Kweli jamani kuna tofauti kubwa sana ktk maisha ukiangalia miamvuli ya hapo juu kisha ukaangalia huu wa huyu jamaa wa hapa chini mwisho utalijua hilo vizuri.
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Apr 4, 2015 #3 Unaweza simamishwa na polisi na kuanza kukaguliwa kumbe utakachokutwa nacho ni tofauti na kinavyoonekana kwa nje
Unaweza simamishwa na polisi na kuanza kukaguliwa kumbe utakachokutwa nacho ni tofauti na kinavyoonekana kwa nje