Mi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi features za Android.
- inatumia android os
- 4K ultra HD
- ina Google assistant (unatumia voice search)
- ni portable
- 8GB storage kwa ajili ya apps. (unaweza kutumia flash pia kama external storage
- HDMI, USB PORT
Bei yake 150,000
Napatikana DSM, kwa mawasiliano zaidi unaweza kunichek PM, nipigie namba 0752 522 234 au whatsapp 0654 910 120.
Picha moja ni ya kifaa chenyewe kikiwa complete, na nyingine ni jinsi inavyoonekana kwenye tv.View attachment 1369586View attachment 1369587
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiifanyi TV yako kuwa UHD 4K ila hii device inao uwezo wa kuonesha contents za UHD kama TV yako ni UHD 4k.Yaan TV yako ni LED inaifanya kuwa UHD 4K na pia smart au mi sijaelewa mi nachojua u UHD AU 4K ni uwezo wa kioo cha Tv
Sent using Jamii Forums mobile app
OYAAAAAAAAAAAAAAA NINA KILO TUFANYE BIASHARAMi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi features za Android.
- inatumia android os
- 4K ultra HD
- ina Google assistant (unatumia voice search)
- ni portable
- 8GB storage kwa ajili ya apps. (unaweza kutumia flash pia kama external storage
- HDMI, USB PORT
Bei yake 150,000
Napatikana DSM, kwa mawasiliano zaidi unaweza kunichek PM, nipigie namba 0752 522 234 au whatsapp 0654 910 120.
Picha moja ni ya kifaa chenyewe kikiwa complete, na nyingine ni jinsi inavyoonekana kwenye tv.View attachment 1369586View attachment 1369587
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo pm mimi nikuuzieOYAAAAAAAAAAAAAAA NINA KILO TUFANYE BIASHARA
kama upo seriousOYAAAAAAAAAAAAAAA NINA KILO TUFANYE BIASHARA
Bado unahitaji...mimi nikuuzie kwa 50000/=?Bei ikifika 50000 unitafute tumalize biashara
Mimi nina smart tv je kinaweza kufanya tv iwe ya android ina google playstore? Na ina internal gb ngapi nikitaka kudownload apps na vitu vingine?Bado unahitaji...mimi nikuuzie kwa 50000/=?
Chungulia PMMimi nina smart tv je kinaweza kufanya tv iwe ya android ina google playstore? Na ina internal gb ngapi nikitaka kudownload apps na vitu vingine?
Weka na picha..
Bado kipo?Bado unahitaji...mimi nikuuzie kwa 50000/=?
Sh ngapNinayo kiongozi nicheki uje kuchukua
Wenye tv za kibyongo tumepitwa na mengiMi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi features za Android.
- inatumia android os
- 4K ultra HD
- ina Google assistant (unatumia voice search)
- ni portable
- 8GB storage kwa ajili ya apps. (unaweza kutumia flash pia kama external storage
- HDMI, USB PORT
Bei yake 150,000
Napatikana DSM, kwa mawasiliano zaidi unaweza kunichek PM, nipigie namba 0625 547 767 au whatsapp 0654 910 120.
Picha moja ni ya kifaa chenyewe kikiwa complete, na nyingine ni jinsi inavyoonekana kwenye tv.View attachment 1369586View attachment 1369587
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilishauzwa Mkuu.Bado kipo?