Mhmmm

Pakulala pazuuuri lakini unaweza lala na usiku unaota unafukuzwa na wachawi!

Au unalala unalala usiku mzima unatoka kwenda chooni!
 
Imekuwa sifa kulala kwenye kitanda cha MARIJUANA?!!! Mmmh kweli Bhangi sumu ya akili!!
 
Jiwe walilolikataa waashi . . . . . . . . .
 
kiukweli mie cwezi kulala nitahis natembelewa na wale nyoka wakijani
 
unaweza kupitisha siku tatu hujaamka na ugomvi utaanza atakaekuamsha...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…