Mhhhh!! Mambo ya Kupeana tu tabu haya!!

Kama yeye ndio dereva wa hio bodaboda niombe lifti tafadhali.
 
Mbona minyama uzembe kibo Akh!!! hua siwafurahii maana mpaka kumtekenya uyo yakupasa ukaze vidole
 
Mbona ni mdoli huo jamani duh! Hizi tamaa zenu hizi ndiyo maana mnakula midege isiyoliwa yaani mdoli unakutoeni miudenda hivyo!!!
 
Kuna wanaume mna comment kichuki khaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…