MH,LISSU MATATANI CHADEMA

Mzushi Mwita Nyarukururu katika ubora wake. Haya pita lumumba ukachukue bahasha yako baada ya kuandika upuuzi wako humu.

 
Kwa uzoefu wangu JF kuna reliable sources kwa taarifa kama hizi, unfortunately ur not among them...
1. Waliposema Zitto anatoswa chadema watu wakasema...aaah wapi.
2. Walivyosema Dr. Silaa anatoswa watu wakasema...haiwezekani....

Mie yangu macho....ninachokijua ukimgusa Mbowe au Lowassa ndani ya chadema umekwisha.
 
Mtoa mada utaolewa kabla ya kuvunja ungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…