Nao simba wajinga barbara ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Kama ceo unatakiwa ufanya background check kuhakikisha huyo mtu anakidhi vigezo. Sasa wanaonekana club ya kienyeji kweli kweli.
Na nitashangaa kama nkoma atakubaliwa ukizingatia hawa wawili walikuwa darasa hilo hilo na vyeti vyao mpaka leo havijatoka