Mbona kasemaKocha wetu msomi, hawezi sema upumbavu!
Weka clip hapa tusikue.
Dah hata mimi nimeshangaa, duuh bonge la mbumbumbu!Akihojiwa na mtangazaji wa Azam TV baada ya kupoteza mechi dhidi ya Mlandege 0-1 amesema bado ana matumaini ya kushinda mechi 2 zilizobaki katika kundi lao C na kutinga hatua ya nusu fainali kutetea ubingwa wao. Tangu ratiba inatolewa kundi C lilikuwa na timu 3 tu yaani;
1.Simba
2.Mlandege
3.KVZ
Mechi ya kwanza kwenye kundi hili ilikuwa baina ya Mlandege na KVZ iliyomalizika kwa sare ya 1-1 na Leo mechi ya pili Simba vs Mlandege. Kwa maana nyingine Kundi limebakiza mechi moja tu Simba vs KVZ ambayo hata Simba akishinda anapata point 3 ambazo hazitamsaidia kuongoza kundi maana tayari Mlandege ana pwenti 4 na anahtajika mshindi mmoja tu.
Labda uelewa wangu kuhusu kanuni za mashindano haya siyo mzuri kiasi kwamba Simba kweli bado ana mechi 2?
Mmemchanganya baba wa watu, kumletea kocha mzungu ndio nini.Kukosea ni kawaida hata kipindi tunacheza mashindano ya CAF na Agosto aliwahi kusema Agosto ndio mabingwa wa ligi yao kitu ambacho hakikuwa sahihi
Hata mtangazaji sijajua kwanini hakumrekebisha au naye sijui hakujua?Kwa hadhi yake? Ila basi.
Uko sahihi, Mgunda alikuwa na mhaho.Akihojiwa na mtangazaji wa Azam TV baada ya kupoteza mechi dhidi ya Mlandege 0-1 amesema bado ana matumaini ya kushinda mechi 2 zilizobaki katika kundi lao C na kutinga hatua ya nusu fainali kutetea ubingwa wao.
Tangu ratiba inatolewa kundi C lilikuwa na timu 3 tu yaani;
1. Simba
2. Mlandege
3. KVZ
Mechi ya kwanza kwenye kundi hili ilikuwa baina ya Mlandege na KVZ iliyomalizika kwa sare ya 1-1 na Leo mechi ya pili Simba vs Mlandege.
Kwa maana nyingine Kundi limebakiza mechi moja tu Simba vs KVZ ambayo hata Simba akishinda anapata point 3 ambazo hazitamsaidia kuongoza kundi maana tayari Mlandege ana pwenti 4 na anahtajika mshindi mmoja tu.
Labda uelewa wangu kuhusu kanuni za mashindano haya siyo mzuri kiasi kwamba Simba kweli bado ana mechi 2?
Hata Mimi nilimuona na kumsikiaKocha wetu msomi, hawezi sema upumbavu!
Weka clip hapa tusikue.