T thom71 Member Joined Jan 3, 2014 Posts 36 Reaction score 9 Jun 28, 2014 #1 Kuna mgomo wa mabasi ya abiria yapitayo Singida! Tunatembea kwa mwendo wa harusi kwa kufuatana tokea Mwanza tutapofika Singida nitawajuza vizuri maana inasemekana dereva mwenzao alipigwa na askari hadi kuvunjwa mkono hapo njiani Singida Attachments 1403955498745.jpg 97 KB · Views: 198 1403955552441.jpg 55.3 KB · Views: 160
Kuna mgomo wa mabasi ya abiria yapitayo Singida! Tunatembea kwa mwendo wa harusi kwa kufuatana tokea Mwanza tutapofika Singida nitawajuza vizuri maana inasemekana dereva mwenzao alipigwa na askari hadi kuvunjwa mkono hapo njiani Singida
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,703 Reaction score 48,143 Jun 28, 2014 #2 Wasafiri mliopo safarini barabara hiyo wakati huu poleni sana
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,176 Reaction score 19,846 Jun 28, 2014 #3 Hawa nao wajinga tu! Sasa abiria wanekosa nini? Abiria na sisi tugome, tuyapige moto hayo mabasi yanayotunyanyasa!
Hawa nao wajinga tu! Sasa abiria wanekosa nini? Abiria na sisi tugome, tuyapige moto hayo mabasi yanayotunyanyasa!
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,368 Jun 28, 2014 #4 lete story nini kimeendelea