Mgeni njoo mwenyeji apone

Karibu jamvini Mngoni Halisi.
 
Jamani hadi naona raha kuwa humu JF mana nimeshakalia mjamvi wa ukweli.AHSANTEE KATAVI
 
Karibu mgeni wa kingoni. nitaponaje mana huna kitu mkononi.
 
karibu Mngoni, hawajambo Ruvuma???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…