T TEGEMEA JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 369 Reaction score 56 May 5, 2012 #1 Mgao wa umeme waja kwasababu bwawa la mtera haliwezi kujaa maji msimu huu mvua chache sana zimenyesha nyanda za juu kusini.
Mgao wa umeme waja kwasababu bwawa la mtera haliwezi kujaa maji msimu huu mvua chache sana zimenyesha nyanda za juu kusini.
Alvin Slain JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 6,375 Reaction score 3,668 May 5, 2012 #2 du ndio basi tena
kibogo JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 9,739 Reaction score 4,746 May 6, 2012 #3 Mh! haya ni matatizo ya kutegemea umeme kwa technologia ya mwaka 47 tuna vyanzo mbadala vingi tatizo ubinafsi kwani kwa nchi hii WATZ wengi wanapopata matatizo wachache unufaika.
Mh! haya ni matatizo ya kutegemea umeme kwa technologia ya mwaka 47 tuna vyanzo mbadala vingi tatizo ubinafsi kwani kwa nchi hii WATZ wengi wanapopata matatizo wachache unufaika.