TANESCO tunaomba mtuambie hii adhabu mnayotupu kila siku jioni kuanzia saa 12 hadi muda mtakapoamua kurudisha huu umeme wenu, adhabu hii itaisha lini, hivi kweli kuna sababu yoyote ya msingi ya kuwa na mgao wa umeme kwenye mji mdogo kama huu?
Sent using
Jamii Forums mobile app