kumekua na kero ya umeme kukatwa kila siku bila hata Matangazo na hatujui nini tatizo,ni week ya tatu sasa tangu kero hiyi kuanza mlioko Songea mtakua shahidi,Hivyo tunaomba Tanesco watueleze wananchi kinachoendelea .'information is power"
Kwa kweli inakera sana nilikuja likizo wiki iliyopita home lizaboni nimekaa wiki umeme nimeuona siku 3 tatizo mbunge kilaza bado watu wataendelea kumchagua tuu
Ningekuwa na uwezo wa kusababisha shida au matatizo ktk jamii ya watz ningefanya hivyo mpaka watie akili, asilimia kubwa ya watz wametolewa ufahamu kabisa yani utadhani ni mazumburugutu/mazezeta taabu ndo zitawafanya wapate akili basi tu cna uwezo
aaah tatizo la umeme mbona lilishatangazwa kutokana na kuharibika moja kati ya majenereta ya kufulia umeme na ratiba ya mgao pia ipo ofcoz mim ya mtaa wangu naijua xo huyo anapaswa kufuatilia atajua ipoje.