M4C ARUSHA
Member
- Apr 27, 2012
- 38
- 4
Mganga anahusikaje na mambo ya M4C? ?Mganga wa jadi toka tanga ,yupo jijini dar es salaam anatibu magonjwa mbali mbali kwa ktumia dawa za asili yaani miti shamba hususani mizizi kwa wanawake wenye matatizo ya uzazi pamoja na wanaume wenye maradhi kama hayo sambamba na presha kisukari,na maumivu ya mgongo wasiliana naye kwa namba
0765 512 030
Mganga anahusikaje na mambo ya M4C? ?
ha ha ha, duuu kaazi kwei kwei!Nyie mjibuni mjibuni Mtaalamu shauri zenu! Mmmesahau ya Daimondo na Ustaadh wa Kigogo. Akirudi kwenye kiringe chake kushtaki kwa wazee jamvi mtaliona chungu hili!
Mtaanzaje kumsaka Ma Paka Paka!!!!!!!!!!!
Kama una dawa ya kuiloga CCM ni pm.
Mganga anahusikaje na mambo ya M4C? ?