Mfumo wa electronic

IJUE

Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
8
Reaction score
2
wadau naomba msaada,kama nimetuma maombi ya kazi kwa mfumo wa electronic ukawa haujapata kazi,ukahitaji kutuma maombi mengine unaweza kuupdate ukatumia data hizo hizo? naomba mnisaidie jamani!
 
wadau naomba msaada,kama nimetuma maombi ya kazi kwa mfumo wa electronic ukawa haujapata kazi,ukahitaji kutuma maombi mengine unaweza kuupdate ukatumia data hizo hizo? naomba mnisaidie jamani!
Unaposema kutumia data hizo hizo unamanisha zipi?kwa mfano vyeti havibadiliki,so always vitakuwa ni hivyohivyo.CV/resume unaweza imodify kutegemeana na kazi hiyo inahitaji knowlege/skills zipi.Barua ya maombi ni lazima uibadilishe kwani contents zikiwemo jina na anuani ya kampuni unaloomba lazima zibadilishwe.
 
nashukru ndg yangu nimekuelewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…