mfahamu SLOTH mnyama aliye polepole kuliko wengine

na ni mvivu kupita maelezo...sijui wakati wa kufanya mating inakuwaje kwa hawa jamaa..
 
Huyu mnyama nilikuwa simpendi sijui kwanini kila nikiwa namtizama namuona wa ajabu ajabu alikuwa ana niudhi, sasa nimeshapata jibu
 
Na hayo makucha yake yana kazi gani kwenye maisha yake ukilinganisha na hizo sifa alizonazo..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…