Mfahamu Fisi

Katika maisha yetu una mfananisha na nani ama chama kipi cha siasa Tanzania
 
Fisi wanajua sana kugegedana.
Na nawapongeza kwa uwezo wao huo waliojaliwa na muumba.

Wala hawana habari na mada zihusuzo miguvu ya kiume.
 
cc: Wanyantuzu. Simiyu wapewe Maua yao.

Fisi jike huweza kupiga dume mpaka likahama nyumba, na hutumia sana ujanja huu endapo jike linataka kuishi na mchepuko wake ndani.
Kumbe hata familia za fisi kuna Mume Bwege.
B.T.W Michepuko Siyo dili.View attachment 3306761
 
Wale Fisi wa kutengeneza wa Kule Usukumani na wale asilia wana tofauti gani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…