Nyamtalakyono JF-Expert Member Joined Dec 17, 2015 Posts 795 Reaction score 479 Apr 11, 2018 #1 Matatizo ya wanawake kutekekezwa na wenza wao. Je unafikiri sababu nini. Na je unashauri nini kifanyike ili kuondoa tatizo hilo.
Matatizo ya wanawake kutekekezwa na wenza wao. Je unafikiri sababu nini. Na je unashauri nini kifanyike ili kuondoa tatizo hilo.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,358 Reaction score 289,449 Apr 11, 2018 #2 Hivi mchepuko ukizaa ukakimbiwa huyu naye utasema katelekezwa ?