Yaani mtani namuonea huruma sana bi dada...
Naona kila wakati baada ya kugundua kaachwa solemba basi ni mfululizo wa NYUZI za kusaka koloni jipya...
Itabidi niunde kikosi kazi au tume ya kuokoa jahazi la bi dada lisizame...