Message ya mchepuko yaenda kwa mume

Yangu ilikuwa hivi,tulikuwa tumefunga shule sasa nilitaka nikirudi mtaani nisifike home siku hiyo,hivo nilipanga kuspend one night na dem wangu ambaye naye alikuwa amefunga tayari yupo home,sasa ule utoto wa kusave majina ,my love,my mum ngoma ikaenda kwa my mum,nilitetemeka hadi nywele.meseji ilikuwa hvi,nimekumis my sweet,ntafurahi sana pamoja na wewe usiku wa kesho,maana yumbani nimewaambia siji kesho,weee ili bid mpango yote iharibike
 
..sasa mama john huyo baba john unaishijeishije nae yaan mpaka wakati wakushiriki huna nae hisia hadi uvute hisia za david!!?..au pesa umempendea??..mama john jehanamu inakuhusu
 
NAPATA KICHEFUCHEFU NIKISOMA STORY YA MTU ALIYEOLEWA ANAFANYWA NJE[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji15] hivi hampati kinyaa? hamuoni aibu? uliona hakutoshelezi kwanini uolewe? ungebaki ukizungushe kama bongo movie!
 
Ha haa haaa! Mi nilitumiwa msj na mdada nisiyemjua ila ilikuwa poa aisee ilikuwa hiv(nimepunguza ukali wa maneno) "T, tangu usafiri nimekutunzia nanilii yko, yaan ukirudi utakuta kitu taitiii afu cha motooo, nakusubiri mpenz" bahati mbay wife aliiona ile msj ikiingia na akasoma sura yang nilivyokuwa naisoma, akaomba cm nikampa alimaind aisee, ilibidi tumtafute mhusika ajieleza vizuri, na ikaonekan hatufahamian ndo nikapona, na akafuta msj ile na namba tulopiga ili nisimtafute tena. Dah yaan wife asingekuwepo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…