Message from Gadaffi to Africans

if giving houses, hospitals etc was enough why riot!?, mind u all that watu walikuwa wanapewa chao, through utajiri wa ardh yao, mafuta nk. Lakn anaona kama vilikuwa vyao walah, viongoz hawa! Nitakula nao sahan moja!
 
Muongo muongo na kwa sisi wataalam wa mambo tunasema huyu apaswa kunyongo. Col Ghadaf amekuwa msumari wa moto ktk dunia ambayo kila kitu kipo wazi. Nikwel Libya walikuwa wakipata vitu bure lakini kiuwalisia WALIBYA KWA MIONGO YOTE WAMEKOSA HAKI YA MSING YAKILA KIUMBE YANI UHURU NA HAKI ZAO KAMA RAIA. GHADAF Hanatofauti na viongoz makatili waliopotosha uma kwa ajili yao binafsi. Namim nikiwa kama MWAFRIKA NA MTANZANIA NINAHAMU KUSIKIA KICHWA CHAKE KIMEKATWA KAMA ALIVYO WAUWA WANACHI WAKE. GHADAF NIMNYAMA NA SII MWANADAM ILA IBILISI NA KAMA MUNGU ANAVYOISH ASIYE SHINDWA JAMBO LOLOTE ATAWAPA WALBYA MWANZO MPYA NA AMAN MPYA NA USTAWI MPYA. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIK AFRIKA.
 
mi nafikiri kwa maoni ya mkamap hakubali uvamizi wa nato libya kulinda amani na utu wa walibya walio wengi, kwa ilivyo kuwa libya hakuna demo hakuna haki! Gadaf dictito! Lazima aondoke just dig deeper to realise! U may be deep not enough!

Not at all, nevertheless, you will come to realize when things have already gone the way of dinosaur.
 
Libya watamkumbuka sana huyu mzee.
Demokrasia gani sijui wanayoitaka. Watu wanapata huduma zote bado tu!
 
He is a great leader in Africa, after nyerere, nkruma, Lumumba, kaunda then gadafi. Libyan citizen will remember him soon.
 


If you could have taken sometime to read my previous post you will understand that I am not digging what these westerners are doing to Libya. Because I know they are into something that they failed to get before. Big nations will never interfere with any country's war if they cant benefit from it and I think that's inhuman. So am definitely against their motives in Libya even though I think at this point they are a bit helpful to civilians. Dictator is a dictator, be it a good dictator or a bad one. Because that means you are forcing people to do what you want and not what they want and I think that's not living. People should have their rights to choose because that's another definition of life, freewill. And if they want him to resign, he should. He has done some good things in Libya, I agree but face it, he has been into power for 40 damn years, don't you think he had had enough time to train other people who can take over? No, he wants to stay in power forever and I think that's selfish.
 

mkuu ungemwambia tu kama free basic needs si alikua anazipata kwa baba na mama,akae basi azeekee nyumbani kwa wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…