Message: Be prepared to retire

Haya ma.3 mbona hawaja kufunua [emoji15] [emoji46] [emoji117] 1-Kama una watoto wazuri wakusaidie kupata mkate wako Wa kila siku [emoji117] 2-laa huna watoto Wa kihivyo LAZIMA utafute ajira kwenye makampuni ya ulinzi ili upate mkate wako Wa kila siku [emoji117] 3- umekosa watoto wazuri! Umekosa ajira [emoji117] 4- LAZIMA UFE [emoji24] [emoji24] WALAHI HUPONI [emoji15] [emoji56]
 
Not every one is waiting for retirement, some of us will opt for early retirement...
 
Kulazimishana kuishi kijijini na kuzuiana kuoa mke wa pili sio fair, mi nitabaki town na nitaongeza mke, msinipangie.
Ukiwa na uchumi/mali mzuri hayo yote yanawezekana.
Kwa wale ambao ni wafanyakazi za kuajiriwa halafu hawajawekeza kwa faida ya baadae pindi watakapostaafu ndio wanaoaswa kufanya hivyo
 
My friend I don't agree with item/point #6 concerning second wife!!! What happened if you divorce at earlier or mid 40s!??,should remain without wife!??or husband!??
 
#6

Wenye degree wengi siku hizi wanachelewa sana kuwa na familia.
Hili linapelekea umri wa kustaafu ukifika bado unategemewa na wanao kwa shule nk
Daaahhh, hili linaninyemelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…