punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 450
Habari wana jf,
hebu niambieni endapo itatokea kwenye mahusiano yenu utafanyaje.
Umezoea kuchat na mwenza wako mara kwa mara unampenda sana na huna mahusiano na mtu mwingine.,sasa inatkea siku mnachati lakini kutokana uchovu wa kazi na mizunguko ya mchana unajikuta umepitiwa na usingiz,anakutext after 30mins ndo unaiona,unampigia kama mara tano ndo anapokea,sasa mnapoonana anakushutumu kuwa umemdharau na kukuinsult kua huna maana,eti watu wapo wengi sana wa maana zaidi yako,u have nothing special kumtreat hivyo etc,etc. Kama ni ww utafanyaje?
hayo maneno aliyokwambia ni makali sana kumwambia mpenzi wako. Lakini kuna vitu haviko wazi hapa. Ikiwa kweli ndo 'ugomvi' wenu wa kwanza, hukuwahi kumsikia akiropoka maneno makali hivo hata kwa watu wengine? Huyo jamaa ni mtumiaji wa kilevi chochote au? Na wakati anatamka hayo alikuwa sober au? Ni mawazo yangu kuwa kunaweza kuwa na sababu ambayo haijawa wazi hap.... Miaka mitano bila ugomvi halafu kutojibu meseji kwa dakika 30 iwe issue?!
Habari wana jf,
hebu niambieni endapo itatokea kwenye mahusiano yenu utafanyaje.
Umezoea kuchat na mwenza wako mara kwa mara unampenda sana na huna mahusiano na mtu mwingine.,sasa inatkea siku mnachati lakini kutokana uchovu wa kazi na mizunguko ya mchana unajikuta umepitiwa na usingiz,anakutext after 30mins ndo unaiona,unampigia kama mara tano ndo anapokea,sasa mnapoonana anakushutumu kuwa umemdharau na kukuinsult kua huna maana,eti watu wapo wengi sana wa maana zaidi yako,u have nothing special kumtreat hivyo etc,etc. Kama ni ww utafanyaje?
ndo wale wale kina nani?Nimekupata vzr lakini unajua ku-deal na watu sampuli hii ni so difficult,sasa hebu niambie issue ndogo kama hii anashindwa kui - handle, likitokea kubwa zaidi ya hili si anaweza chinja mtu , hawa ndio walewale......
kaka mie nipo kwenye game more than ten years na sasa nataka nianze kutunga nyimbo/singles ambazo hawa wanamuziki wetu watanisaidia kuimba ambazo zitzsaidia watu kutafuta wake/waume wanao wafaaa na nyingine kuwafariji walio kata tamaa ya ndoa zao., mie nakushauri huyo sio ila endelea kumchunguza (lakini hakufai)
1.kwa sasa utaona kama sio tatizo lakini nitatizo kubwa sana
2.busara zake ni ndogo saana utaja juwa baadaye kwa sasa ni ngumu kujua
3.si mvumilivu na mtafiti
atakuja kuwa kero sana pindi atakaopewa visa angalia sana utanikumbuka
hee kumbe huyo ni mwanaume!pole mama kuna watu hawajui kuwatreat nyie mabint,usihofu,huyo atakuwa na matatizo yafuatayo,mosi,ni mdhalilishaji,second hajiamini kwako hivyo anahisi hastahili kuwa na wewe hivyo anahisi unamdharau,yote haya yana tiba ila awe anajua ana tatizo halafu akubali tiba,tiba yake ni ushauri,akikubali mnaweza kwenda kwa wataalam wa mahusiano kwa ushauri!