johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Muda utaongeaHizo ni ndoto za mfa maji.
Ulimsikia Nassari?!!!Kweli mwisho wa kufikiri ndio mwanzo wa ujinga....
Usiwaamini wanasiasa by ZZKUmeandika upupu dah
Teh teh teh umenikumbusha Machali na Edfo!!Hadithi ya fisi na mkono wa binadamu
Ki EbraniaX mass ndio nini
Mwandikie smsNakutakia heri ya Christmas na mwaka mpya wenye furaha.Kwa utendaji wako uliotuka jiandae kuwapokea chamani wanasiasa nguli ambao waliupiga vita vya maneno ufisadi kwa nguvu kubwa nawe kwa matendo yako unakifanyia kazi kile walichokipigania.
Kama wanataka kuendelea kufanya siasa za kile wanachokiamini ni lazima watue CCM,mwenzao Nasari tayari uvumilivu umemshinda amechoka kuzibwa mdomo na sasa ANAONGEA.Sikukuu njema wanajf wote!
Mwandikie sms