Merry Xmas mwenyekiti CCM,watarajie Tundu,Mnyika na Zito kujiunga chamani 2020

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,559
Nakutakia heri ya Christmas na mwaka mpya wenye furaha.Kwa utendaji wako uliotuka jiandae kuwapokea chamani wanasiasa nguli ambao waliupiga vita vya maneno ufisadi kwa nguvu kubwa nawe kwa matendo yako unakifanyia kazi kile walichokipigania.

Kama wanataka kuendelea kufanya siasa za kile wanachokiamini ni lazima watue CCM,mwenzao Nasari tayari uvumilivu umemshinda amechoka kuzibwa mdomo na sasa ANAONGEA.Sikukuu njema wanajf wote!
 
Mwandikie sms
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom