Merlin vs Game of Throne VS Last Ship vs Seal Team

Kaka Ila hiyo mcgayver sijaielewaa kabisaa nimeiqchia mwanzo,,,West wing na DR Who sijaziona kaka ngoja nizitafute
Unaichukua GAME OF THRONES unailinganisha na series za vichochoroni halafu unajiita LEGEND!..
Ushazisikia DR. WHO, MCGYVER au WEST WING!?..

kamati ya maamuzi magumu
 
##bro umeongea purely kabisaa
Nakupongezaa kwa maelezo ulioyatoa


kamati ya maamuzi magumu
 
Mshindi La casa de papel
Series ya kipuuzi kabisa siwezi rudia tena kuitazama. Yani ina location chache, wahusika wachache na haiko real. Shida ya kutazama movie unayojua information za ilichoigiza ndo inanikumba. Unakuta nikitazama movie ya kuhusu KGB vs CIA alafu historia ya hicho kitu nimeisoma wakikosea movie naichukia. Nikitazama kuhusu WW2 wakikosea au wakatoa uongo wa nguvu au kutaka kuleta ukisasa ambao haukuwepo that time naichukia. Money Heist pesa inahifadhiwa kwenye nyumba ambayo ni sawasawa na museum wakati inatakiwa iwe kwenye bullion. Kuna makosa kibao.
 
Kumbe sio nzuri saana,,Siendi kuitafuta
kamati ya maamuzi magumu
 
Kwani lacasa ile movie ni true story?
 
Hiyo sijawahi Iona Kaka ikoje ni ya kifalme au military drama?

kamati ya maamuzi magumu
Hahah kaitafute....ni sci-fi.
Na ina multiple timelines ila in short kuna jamaa walitengeneza kijiji fake cha watu kama utalii...yani watu fake,wanyama fake kila kitu ni fake yan wanyama,watu ni robots ila hawajijui kuwa wao ni robots na wana akili kama watu,wanapendana wanapigana kama maisha ya kawaida...na mastar ni hao robots.
 
Mkuu huu uandishi wako dah. Hayo majina sasa ulivyoyaandika πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ungetafuta hata msaada google asee.

Anyway, GOT ni show ya tofauti usifananishe na Merlin, hizi ni ligi mbili tofauti kabisa.

Breaking Bad.
 
Kwani lacasa ile movie ni true story?
Sio true story lakini napenda kuwe na uhalisia kwenye movie. Hata Prison Break mazingira waliyoigiza kama gereza la Chernyi Del'fin sio lenyewe (maana huwezi ruhusiwa kulitumia) lakini angalau jengo na mazingira yanaelekeana. Sasa hii ni kama museum ilifananishwa na fortified vault building.
 
Tukiachana na hizo za juzi, Kuna hii ya 2013, Da vinci demons ni nzuri sana. Nipo na See naitafutia kasi ya kuichek.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…