darautobroker
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 394
- 355
Gari Haina Shida Yeyote Ile Na Ruksa Kuja Na Fundi Wako Mwambie Abebe Diagnosis MachineMboni bei ndogo mkuu nini shida?
Punguza Udaruweshi Utafika Mbališ„±Gari ya 2012 Benz hiyo ni bei yake wazee jaribuni kwenda na muda kidogo tupo 2025.
Hiyo gari kodi yake sio kubwa na ununuzi pia huku sokoni.
Ishu ya magari kwa watu ambao sio wa magari mnaona big ishu daah..Punguza Udaruweshi Utafika Mbališ„±
34 million ndogo?34m mmh ina kipengele kipi ?
Of Course, Kwa Hadhi Na Ubora Wa Gari Iyo34 million ndogo?
mkuu unamaanisha jamaa anauza bei juu? au anauza gari ya mwaka wa zamani sana? Sema bro nahisi unauza sana gari za gharama tu, tupo sie ambao bado tunajitafuta.Gari ya 2012 Benz hiyo ni bei yake wazee jaribuni kwenda na muda kidogo tupo 2025.
Hiyo gari kodi yake sio kubwa na ununuzi pia huku sokoni.
Inatia shaka34 million ndogo?
Uko sahihi kabisa.Gari ya 2012 Benz hiyo ni bei yake wazee jaribuni kwenda na muda kidogo tupo 2025.
Hiyo gari kodi yake sio kubwa na ununuzi pia huku sokoni.
Mkuu karibu kila wiki inapita gari niliyolipia hapa hapo Tunduma magari machache sana ndio kodi namuuliza mwana wa humu seaman ila mengi nishalipia najua kwa kichwa hilo kodi yake itakua ngapi maana bila kujua kodi ya gari kazi ya kuleta magari itakua ngumu ukiangalia bei ya soko tu..Uko sahihi kabisa.
Nazo Pia Zipo Kakamkuu unamaanisha jamaa anauza bei juu? au anauza gari ya mwaka wa zamani sana? Sema bro nahisi unauza sana gari za gharama tu, tupo sie ambao bado tunajitafuta.
Kama E300 ya 2012 kwa M34 watu wanasema bei ni rahisi asee..!Mkuu karibu kila wiki inapita gari niliyolipia hapa hapo Tunduma magari machache sana ndio kodi namuuliza mwana wa humu seaman ila mengi nishalipia najua kwa kichwa hilo kodi yake itakua ngapi maana bila kujua kodi ya gari kazi ya kuleta magari itakua ngumu ukiangalia bei ya soko tu..
Tanzania watu wengi wananunua magari mengi machakavu kwa bei kubwa sana ukimpa bei ya hii Toyota Legend 50 ya 2023 atashangaa sana na anaweza kukataa kwa bei yake ya kawaida tu.Kama E300 ya 2012 kwa M34 watu wanasema bei ni rahisi asee..!
Sh ngap hii mkuuTanzania watu wengi wananunua magari mengi machakavu kwa bei kubwa sana ukimpa bei ya hii Toyota Legend 50 ya 2023 atashangaa sana na anaweza kukataa kwa bei yake ya kawaida tu.View attachment 3443402
Inauzwa kati ya 68m mpaka 75m rand 460,000 nadhani maana nilipita juzi hapo..Sh ngap hii mkuu
Hahahaš hatari ist used mpk bongo 17mil ,wanakuja kuzitupa hukuInauzwa kati ya 68m mpaka 75m rand 460,000 nadhani maana nilipita juzi hapo..
Sasa uliza gari ya 2023 Japan Legend 50 utapata bei yake..
Hapa gari mpya rand 889,000 kwa hiyo iliyopita miaka kadhaa inashuka bei tofauti na Japan wao wanaangalia demand and supply bado wanatuuzia ist za 2004 si utani huo..