Chassis: WDB124023
Type: Saloon
Year: 1992
Imported: 2005
User: Single Size/Fuel: 2.3
Doors: 4
Color: silver
Transmission: AT
Extras: AC, PS, PW, PM, CL, AW, CC, RHD, ABS, 5 seats
Drives superb and maintains a good look.
NB: Bodywork done recently and painted Black Metallic; Front headlights; backlights and show changed to modern one (macho ya Panzi); Engine changed, New CD Player/Radio; PVC white cushion inside; both insurance and road license expired.
Price TZS: 6.5M Duty Paid
Reason for selling. The car is not being used
Contact: 0782 820 820.
Serious buyers can give their offer.
huwezi kubadili hii V-BOOT kuwa macho ya panzi,hata picha zako hazionyeshi any changes....prove me wrong weka picha za hizo changes za show,taa za mbele(kumbuka macho ya panzi ina twin round headlamps)
Nyani Ngabi ni M-Bro wa Ukweeeee . . . yuko majuu you know. Kama vipi anatumia GMC na Cardillac!mpe Nyani Ngabu zawadi
Mkuu dunia hii ya leo kuna kinachoshindikana?
Ni kwamba a complete show yote ya zamani ilitolewa na kuweka mpya. Nimeshindwa kuweka picha hapa maana nilikuwa sina camera.
Hata hivyo mnunuzi kishapatikana na ameiona na kuridhika. Kishalipa commitment amount next week anamalizia.
thanks for your concern.
nitakupa m 7Kiasi gani?

Superman umepigika unauza benz lako?
good for you brother......
nipe range kama vipiAcha ujanja Mbebs wa Ukweeeeeee, mbona siku zote unaliona linapigwa na jua na mvua hukutoa offer?
Nipe hiyo 7M chukua BMW.