amaa aliamua kumtoa dem wake aut kwaajili ya
chakula cha usiku kufika hotelin wakakaa mezan
muhudum akaja, kaka nikuhudumie nin,
tafadhal :NILETEE MENU LISTI: dada na wewe,
dada ajibu kwa pozi tena kwakujishaua," NA MIMI
NILETEE MENU LIST ILA USIWEKE CHUMVI NYINGI"
Chezea mburula wewe!!.
asubuhi njema.