Meno ya Tembo

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,015
Reaction score
10,040
wakuu nauza taarifa ya meno ya tembo zaidi ya Tani Tatu

Mtu ambae yuko interesting anipm nimpeleke mzigo uliko..
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuuuuu kuwa tayari kulengeshewa watu wa intarahamwe uwe news kwa ITV saa mbili huku kova akikuelezea.
 
ha ha ha Aisee maneno yako yanaweza kuwa kweli kabisa
 
We jamaa unaleta utani kwenye nyara za taifa
 
Acha ujinga ndugu yangu, utashangaa ukiambiwa umedakwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…