nakuaminia kwenye hili....ushapita kule QUALITY CENTRE??? ground floor maduka ya upande wa kushoto kuna duka la saa....kuna vidonda vya kufa mtu Catherine pita hapo kama unataka kuninunulia saa najua chochote utakachotoka nacho duka hilo kinanifaa[bei zimewekwa kwa $$$ ila wanachukua shilingi.