Be who u like to be, all the time.
Kama mtu hawezi kukuchukulia ulivyo wa kazi gani unahangaika naye? Mahusiano ya pretence ni kama unaficha true intensions za huo uhusiano.
Eti nisivae saa ya mpira/pastic. Hata kama mimi ni millionaire, really? is it bad if i wear a watch i like?
Mimi muuza duka hata saa yangu ikiwa na calculator, she'll rule me out as less of a man?( why would i like such a lady in the first place?)
Be who u want to be and u'll get a person of that kind.
Ukivaa saa ya rubber utampata mvaa saa ya rubber mwenzio period!