Members Kimsboy na Webabu leo kiimyaa

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
910
Reaction score
2,012
Tangu ijumaa Iran ilivyobahatisha kuidungua ndege ya kivita ya Marekani na rubani ku eject kimsboy na Webabu waliibuka mafichoni na kuanza kuposti propaganda mfulululizo.

Ila leo kimya baada ya Marekani kufanya yao ndani ya Iran kwa msaada wa wateule Mossad. Hadi napoandika huu uzi hawaonekani huko international Forum.

Wamewaachia ma pro Iran na kobaz wengine kina zitto junior mdogoee na Jagina waki comment kinyongeee.

Hahahahahaaaaa πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£

TRUMP AKBAR

NETANYAHU AKBAR

adriz de mbusii
 
Yahudi from kilimatinde naona umeshiba pilau la pasaka unaanza kuleta fujo.

Acha porojo jamvini.
 
Eti ndege zimekwama wakazichoma moto ,uende kwenye mission halafu ndege zikwame kwa hitilafu binafsi si uongo huo..🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…