VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,006
Hujui ulisemalo.Kisheria haitakuwa halaliKwani chama kikimtangaza mtu wake wanayetegemea atagombania uraisi kabla ya muda wa uchaguzi ambao utatangazwa na Tume kuna kosa gani hapo? Chama kumtangaza mtu wake kuna taratibu zake ambazo sidhani kama zinaingiliana na taratibu za tume ya uchaguzi ambazo zinazuia tu mtu kuanza kampeni kabla ya tarehe rasmi waliyoipanga!
Mwenyekiti amenukuliwa vibaya.Hata mkuu Mungi anajua. Hakusema hivyoMzee Tupa Tupa,ndani ya CCM wenye busara na akili hamna wakapinga upuuzi na kauli za hovyo za wakubwa wenu??!! Hata kushauri pia ngumu??!!
Nini maoni na tathimini yako ya Kauli ya Raisi rahisi na Mwenyekiti wenu wa Chama kinachojinadigi kuhubiri amani,umathubutu na utaifa??!!
Ni kwamba, Waziri Membe alikitaka chama tawala-CCM kimteue mgombea wa Urais wake hadi ifikikapo Disemba mwaka huu. Yaani,uteuzi wa mgombea ufanyike kabla ya kuisha mwaka huu. Aisee!? Kauli hii kaitoa yeye.Imeripotiwa na baadhi ya magazeti leo hii (kama sikosei Mwananchi).
CCM wameshajikubali kushindwa lakini sasa wanakuja na slogans mpya, wanasema "ccm imechoka lakini upinzani hauko tayari". Na wanajikubali kuwa wao ni 'zimwi' kitu ambacho ni kweli lakini wanatumia kinyume chake kuwa bora zimwi likujualo.
Kinachonisikitisha ni uchaguzi uliopita wa madiwani, sijui hao waliowapa kura wanawaza nini maana inaonyesha kutokuwa wazi kwa walio wengi huku shida zikiongezeka.