esther mashiker
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 616
- 555
PoorKanda yetu, zamu yetu.
Kanda yetu, zamu yetu.
Kanda yetu, zamu yetu.
Kwa hiyo wasijenge meli ama vipKanda yetu, zamu yetu.
Ila report zinasema ndo more safe.kuliko nyingine zote.Abiria 1,200 hadi 4,000!? Haya makadirio sijayaelewa kabisa, na ajali zitazidi kuua watu wengi kwa uzembe wa makusudi.
Hiyo MV Victoria tangu ilivyokosakosa kuninywesha maji hata kwa upanga hunipandishi. Safari za majini ni risk sana aisee dah!
Ovyo,ubaguzi umekujaaKanda yetu, zamu yetu.
Kuwa salama zaidi hakumaanishi sio hatari, bali ndiyo yenye afadhali ukilinganisha na hizo zingine.Ila report zinasema ndo more safe.kuliko nyingine zote.
Atakuwa mtu WA kaskazini huyu.si unajua ni wabinafsi sanaOvyo,ubaguzi umekujaa
Sawa nadhani watajifunza Kwa makosa waliyoyafanyaKuwa salama zaidi hakumaanishi sio hatari, bali ndiyo yenye afadhali ukilinganisha na hizo zingine.
Lakini kwa ujumla safari za majini bongo ni shida tupu. Safari ikishaanza ni Mungu tu ndiye wa kumuomba aweke mkono wake. Meli hizi za serkali huwa zimechoka sana! Kuna meli nyingine ndogo ya serikali inatoka Mwanza mjini kwenda Ukerewe, ukiona imeng'oa nanga unabaki unamuomba Mungu aifikishe salama angalau kwa safari hiyo. The same to Victoria.
Ni kweli kabisa, uzembe wa makusudi kabisa wa kwenye MV Bukoba usijirudie tenaSawa nadhani watajifunza Kwa makosa waliyoyafanya
Hiyo meli inayotengenezwa wajitahidi wasifanye makosa kama waliofanya mv bukoba meli iliegemea upande
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kwa hujafurahia kuwepo meli Kati ya bukoba na mwanza?Teuzi kanda ya ziwa miradi mikubwa kanda ya ziwa viparata na kodi nchi nzima naogopa kusema p'vu