Safi kabisa. Thanks
Iconoclastes for those Ch(K)ampala pics, zinanipeleka mbaaaaali. The national mosque is very beautiful.
Afu pia panapowezekana taja jina la camera liliotumika. Napenda sana kufanya comparison za camera tofauti hasa uwezo wa kutoa panorama pics. Kuna baadhi ya mapicha poa sana, kama hizo kutoka DarYetu. Big up to the photographers as well. Hongereni.