Nafaka inamaana wewe hupendi walemavu kwenye hii dunia? Kama iddi Amini dada?Mimi uwa naona kama ni ulemavu yani mwanamke ana makalio yaliyopitiliza.
Sijawahi kuvutiwa na mwanamke mwenye makalio yaliyopitiliza kwakweli.
Haina maana nawachukia lakini si kitu kinachoweza kukuvutia mpaka mfano useme natamani kuwa na demu chongo. Lakini pia haimaanishi kuwa siwezi kuwa na demu chongo. Maana hujafa hujaumbika.Nafaka inamaana wewe hupendi walemavu kwenye hii dunia? Kama iddi Amini dada?
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Haya sawa mkuu.Haina maana nawachukia lakini si kitu kinachoweza kukuvutia mpaka mfano useme natamani kuwa na demu chongo. Lakini pia haimaanishi kuwa siwezi kuwa na demu chongo. Maana hujafa hujaumbika.
Hivyo kwangu mtu mwenye makalio yaliyopitiliza naona ni abnormal sawa na mtu labda mwenye mguu mmoja mrefu mwingine mfupi.