Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,477
- 41,099
Ule ulikuwa mpango wa kumwokoa na mwenyeji wa mashindano Simba na aibu ya magoli mengiNimeangalia hii mechi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo, haiingii akilini kuambiwa wale ni wachezaji walionunuliwa kwa mabilioni ya pesa. Hivi kwa mpira wa jana kuna tofauti gani kati ya ya yule Mahmoud Kahraba na Clement Mzinze..
Manara Jr,Nimeangalia hii mechi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo, haiingii akilini kuambiwa wale ni wachezaji walionunuliwa kwa mabilioni ya pesa. Hivi kwa mpira wa jana kuna tofauti gani kati ya ya yule Mahmoud Kahraba na Clement Mzinze...
Makampuni ya kubet yalinunua ile mechi yalijua watu wengi sana watampa ushindi al ahlyUle ulikuwa mpango wa kumwokoa na mwenyeji wa mashindano Simba na aibu ya magoli mengi
Na walipiga hela siyo kitotoMakampuni ya kubet yalinunua ile mechi yalijua watu wengi sana watampa ushindi al ahly
Waje na mabeki wa kumkaba Aziz ki, sio wale wa janaJiandae na wewe si mtacheza nao
Aziz hajawahi kuifunga Ihefu, ataiweza Ahly?Waje na mabeki wa kumkaba Aziz ki, sio wale wa jana
Al ahly ni too much kwa kweli makampuni ya kubet lazima yalinunua hii mechi haiwszekeani timu inakosa goli za wazi wqzi cha kushangaza wakifungwa wao na kuwa nyuma kwa magoli wanachomoa fasta fasta halafu wanarudi kwenye utaratibu ule ule wa kukosa magoli. Sio bure kwa kweliEndapo itatokea timu moja ikafungwa goal 5 au 6 basi mashindano yataonekana ni ya wakubwa wachache na vibonde ndo maana unaona mechi zote hazina magoal yanayozidi matatu , timu zimeshapewa maagizo wafungane kiaina
Badala ya kuongelea mada unamuongelea mtu anyway sikushangai maana Rage alishawaelezea kwa ufupi na usahihiMtoa mada achunguzwe inawezeka matokeo ya al hally vs Simba sc. Yamempotezea hela nyingi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] mbu mbu mbu in rage voiceNimeangalia hii mechi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo, haiingii akilini kuambiwa wale ni wachezaji walionunuliwa kwa mabilioni ya pesa. Hivi kwa mpira wa jana kuna tofauti gani kati ya ya yule Mahmoud Kahraba na Clement Mzinze.
Waarabu wanapiga pasi zisizokua na maana, wanabutua butua na kukosa magoli ya wazi ila sasa walivyofungwa wakajua mechi ikiisha ivyo ivyo wanatolewa, nafasi ya kwanza tu waliyopata baada ya kufungwa wakaipeleka nyavuni halafu wakarudi kucheza mpira ule ule wa mwanzo. Pasi zisizokua na maana, kubutuabutua na kukosa goli za wazi.
Hii mechi matokeo yalipangwa. Najua simba watakuja kutapika hapa, sina hofu nao maana Rage alishawaelezea kwa kifupi na usahihi kabisa.
Ukweli kabisa mkuuKama kuna ukweli hivi