bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Man city 6 man u 21. Man. City vs Man. United 2 - 3
Hii kwangu ndio the best na ninayoikumbuka muda wote, nilikata tamaa baada ya kipindi cha kwanza nikiamini tayari tumewapa City ubingwa. Mwisho wa siku ilipigwa comeback ya nguvu second half.
2. PSG vs Man. United 1 - 3
"Mountains are there to be climbed" Solskjaer alionyesha ni jinsi gani hupaswi kukata tamaa, tumeona hata walichofanya Liverpool dhidi ya Barcelona.
3. Tanzania vs Uganda AFCONQ
Sikumbuki kama kuna game ya Taifa Stars nilishangilia kama hii, kushuhudia timu ya taifa langu kushiriki michuano mikubwa kama ile ilinipa furaha sana.
4. Kenya vs Tanzania AFCON
Hii iliniumiza sana tulistahili kushinda kwa jitihada wachezaji wetu walizoonesyesha uwanjani.
5. Man. United vs Chelsea 4 - 0
Hii ni special sana kuanza msimu tu na kumla mtu 4 kuliniaminisha mengi huenda msimu huu ni wetu tunabeba kombe kumbe sivyo.
6. Real Madrid vs Liverpool UCL Final
Kitendo cha Salah kuchezewa rafu ile kiliniuma, Liverpool walipambana sana kufika pale. Kiupande wa kishabiki nilifurahi Ronaldo kuongeza UEFA nyingine.
7. Uruguay vs Ghana WC 2010
Daaah kila nikimumbuka ile penalty ya Asamoah Gyan na ile shangilia ya Suarez naona kama waafrika hatuna bahati WC.
8. Man. United vs Arsenal 8 - 2
Hii sitasahau kumpiga mtu 8 EPL sio jambo dogo tena Arsenal.
9. Ajax vs Man. United 0 - 2
Baada ya kimya kirefu kule UCL timu yangu pendwa angalau tukabeba kombe letu la kwanza la UEFA Europa League.
10. Juventus vs Man. United 1 - 2
Daah ile free kick ya Mata sitaisahau tuliuaminisha ulimwengu hata kama sio bora sana ila tunapambana.
Nakumbuka hadi Barca dakika za mwisho wanasubiria mechi kuisha wakaanza kuchana nyavu..
Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Yule babu akachomesha kwa mo zidanFainali ya Afcon Cameroon against Misri weeee
Afcon mwaka 2000 kama sikosei fainali nigeria cs cameroon game iliamuliwa kwa penati bonge moja ya game.
Euro 2000
France vs portugal
France vs italy
World cup 1998
Argentina vs holland
Uefa 2005 final(istanbul miracle)
Liverpool vs ac milan
Arsenal bs real madrid uefa at bernabeu
Game ni nyingi mnooo ngumu kuchagua 10 pekee
kongole kwako brother...Netherlands vs Argentina world cup 98';Ile kichwa ambayo Ortega alimvisha van der ser ilikuwa hatari
Netherlands vs Portugal work cup 2006; red cards nne mbili kilA upande,Hadi waliotolewa wakakaa pamoja wakaanza kupiga soga
arsenal vs villareal,semifinal ucl 2006 second leg,ulipiga mpira mwingi sanaa,ila Lehman kuokoa mkwaju wa pernat ya requelme ndio haitosahaulika
reading vs arsenal(7-5);what a comeback,reading ikiongoza 4-1 mpaka halftime,at 90' it was 4-4 after extra time arsenal akashinda 7-5
Korea vs Italy,Korea vs Spain world cup 2002,Italy na Spain waliotolewa huku wakilia kwa figisu zilizochezwa
kongole kwako brother...
ongezea na hizi
- chelsea 4 - liverpool 4 (champions league)
- liverpool 4 - arsenal 4 (usiku wa arshavin)
- juventus vs man utd (champions league 1999)
- arsenal 2 - man utd 2 (premier league 2002)
- uholanzi vs Italy (euro 2000)
Denis Bergkamp alikuwa GeniusBonge moja ya game!
Fundi Dennis Bergkamp anawauwa waargentina muda wa nyongeza huko!
Bonge moja ya goli, anareceive mali vizuri, anafanya touch kama tatu tu hivi kama sikosei halafu anaweka mpira kimiani!
Anapokea mali, anaudundisha chini kumpiga chenga (ayala sijui yule) anakutana na kipa anapiga kama outer fulani hivi mpira kimiani.
Japo Mimi Man U ila lile goli kwenye mgahawa unakwenda na chapati zako mbili unapata supu ya bure .hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko
hi mechi ya kibabu fergie anatetemeka baada ya pep kumfundisha soka hahahaha
goli la tatu its david villaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ile barcelona ilikuwa kiboko
Naona zote ni za man u....1. Man. City vs Man. United 2 - 3
Hii kwangu ndio the best na ninayoikumbuka muda wote, nilikata tamaa baada ya kipindi cha kwanza nikiamini tayari tumewapa City ubingwa. Mwisho wa siku ilipigwa comeback ya nguvu second half.
2. PSG vs Man. United 1 - 3
"Mountains are there to be climbed" Solskjaer alionyesha ni jinsi gani hupaswi kukata tamaa, tumeona hata walichofanya Liverpool dhidi ya Barcelona.
3. Tanzania vs Uganda AFCONQ
Sikumbuki kama kuna game ya Taifa Stars nilishangilia kama hii, kushuhudia timu ya taifa langu kushiriki michuano mikubwa kama ile ilinipa furaha sana.
4. Kenya vs Tanzania AFCON
Hii iliniumiza sana tulistahili kushinda kwa jitihada wachezaji wetu walizoonesyesha uwanjani.
5. Man. United vs Chelsea 4 - 0
Hii ni special sana kuanza msimu tu na kumla mtu 4 kuliniaminisha mengi huenda msimu huu ni wetu tunabeba kombe kumbe sivyo.
6. Real Madrid vs Liverpool UCL Final
Kitendo cha Salah kuchezewa rafu ile kiliniuma, Liverpool walipambana sana kufika pale. Kiupande wa kishabiki nilifurahi Ronaldo kuongeza UEFA nyingine.
7. Uruguay vs Ghana WC 2010
Daaah kila nikimumbuka ile penalty ya Asamoah Gyan na ile shangilia ya Suarez naona kama waafrika hatuna bahati WC.
8. Man. United vs Arsenal 8 - 2
Hii sitasahau kumpiga mtu 8 EPL sio jambo dogo tena Arsenal.
9. Ajax vs Man. United 0 - 2
Baada ya kimya kirefu kule UCL timu yangu pendwa angalau tukabeba kombe letu la kwanza la UEFA Europa League.
10. Juventus vs Man. United 1 - 2
Daah ile free kick ya Mata sitaisahau tuliuaminisha ulimwengu hata kama sio bora sana ila tunapambana.
Hapo namba 9 siyo. Sio kwa mbeleko ile1. GERMANY VS BRAZIL 0-2 WC 2002
2. LIVERPOOL VS AC MILAN 3-3 2005 UCL
3. BENFICA VS MAN UTD 2-1 2005 UCL
4. JUVENTUS VS MAN UTD 2-3 UCL 1999
5. VILLAREAL VS ARSENAL 0-0 UCL 2005
6. AC MILAN VS BARCELONA 0-1 2005 UCL
7. GERMANY VS ITALY 0-2 WC 2006
8. PORTUGAL VS HOLLAND 1-0 WC 2006
9. BARCELONA VS PSG 6-1 2018 UCL
10. SIMBA VS YANGA 2-2 2020 VPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mechi kwangu mm, ndiyo iliyobeba mechi zote 10 bora na kali.YANGA VS SIMBA
GOLI LA MORISOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON HADI LEO NATAMBA NALO
MIKIA KIMYAAAAAAAAAAAAAAAAA