Satumbo Member Joined Sep 25, 2013 Posts 77 Reaction score 5 Sep 17, 2014 #1 Hi! jamani vp kuhusu hiyo course ikoje hasa kwa case ya kujiajili na kuajiliwa.
Z zedeckmelck Member Joined Sep 2, 2014 Posts 37 Reaction score 22 Sep 17, 2014 #2 Hiyo course bado iko sokoni sana katika kuajiliwa
Y Young Kibaka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 319 Reaction score 46 Sep 17, 2014 #3 engineer hajui L na R. duh
Satumbo Member Joined Sep 25, 2013 Posts 77 Reaction score 5 Sep 21, 2014 Thread starter #4 Young Kibaka said: engineer hajui L na R. duh Click to expand... kiaje fafanua zaidi mkuu
Mnyepe Boy Senior Member Joined Apr 17, 2013 Posts 101 Reaction score 16 Sep 21, 2014 #5 ajila nje nje, iyo course ina upana mkubwa xana, vp unaenda xomea chuo gani? ??
M majjita 01 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 232 Reaction score 82 Sep 21, 2014 #6 Mnyepe Boy said: ajila nje nje, iyo course ina upana mkubwa xana, vp unaenda xomea chuo gani? ?? Click to expand... MBONA mm NIMEHITIMU MIAKA MITATU ILIYOPITA HADI LEO NASOTA KITAA MKUU.
Mnyepe Boy said: ajila nje nje, iyo course ina upana mkubwa xana, vp unaenda xomea chuo gani? ?? Click to expand... MBONA mm NIMEHITIMU MIAKA MITATU ILIYOPITA HADI LEO NASOTA KITAA MKUU.
P Professor of jungle JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 480 Reaction score 942 Sep 21, 2014 #7 nilifanya field kiwanda cha urafiki kuna engineer wa mechanical analipwa laki 3 kwa mwezi
baro JF-Expert Member Joined May 12, 2014 Posts 3,328 Reaction score 4,515 Sep 21, 2014 #8 Koromeo said: nilifanya field kiwanda cha urafiki kuna engineer wa mechanical analipwa laki 3 kwa mwezi Click to expand... Huyo sio engineer ulidanganywa atakuwa veta au fundi mchundo Yaan usikubali kila unaloambiwa unakubali Fanya tafiti.....
Koromeo said: nilifanya field kiwanda cha urafiki kuna engineer wa mechanical analipwa laki 3 kwa mwezi Click to expand... Huyo sio engineer ulidanganywa atakuwa veta au fundi mchundo Yaan usikubali kila unaloambiwa unakubali Fanya tafiti.....
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,655 Sep 21, 2014 #9 sema chuo ulchopangwa make m mwenyew nmechaguliwa mech udsm
M majjita 01 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 232 Reaction score 82 Sep 21, 2014 #10 Jaby'z said: sema chuo ulchopangwa make m mwenyew nmechaguliwa mech udsm Click to expand... POLE baba MZIKI WA PALE DISCO NI NJENJE TU. MASIALA YOTE ACHA KITAA
Jaby'z said: sema chuo ulchopangwa make m mwenyew nmechaguliwa mech udsm Click to expand... POLE baba MZIKI WA PALE DISCO NI NJENJE TU. MASIALA YOTE ACHA KITAA
Mnyepe Boy Senior Member Joined Apr 17, 2013 Posts 101 Reaction score 16 Sep 21, 2014 #11 majjita 01 said: MBONA mm NIMEHITIMU MIAKA MITATU ILIYOPITA HADI LEO NASOTA KITAA MKUU. Click to expand... ulihitimu wap? na pia diploma/degree
majjita 01 said: MBONA mm NIMEHITIMU MIAKA MITATU ILIYOPITA HADI LEO NASOTA KITAA MKUU. Click to expand... ulihitimu wap? na pia diploma/degree
Mnyepe Boy Senior Member Joined Apr 17, 2013 Posts 101 Reaction score 16 Sep 21, 2014 #12 Jaby'z said: sema chuo ulchopangwa make m mwenyew nmechaguliwa mech udsm Click to expand... karibu, mi pia nipo udsm iyo cozy,
Jaby'z said: sema chuo ulchopangwa make m mwenyew nmechaguliwa mech udsm Click to expand... karibu, mi pia nipo udsm iyo cozy,
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,655 Sep 21, 2014 #13 2tameet joh mnyepe
GREGO JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,282 Reaction score 2,931 Sep 21, 2014 #14 majjita 01 said: POLE baba MZIKI WA PALE DISCO NI NJENJE TU. MASIALA YOTE ACHA KITAA Click to expand... Usimtishe mkuu.....ni kupambana tu
majjita 01 said: POLE baba MZIKI WA PALE DISCO NI NJENJE TU. MASIALA YOTE ACHA KITAA Click to expand... Usimtishe mkuu.....ni kupambana tu
Jaby'z JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 4,318 Reaction score 7,655 Sep 21, 2014 #15 sio wa kwanza kusoma hio kozi walishasma na waka graduate weng tu cha msingi msuli mdau "no sweet without sweat" hamna kirahs ila juhudi zako tu majjta 01
sio wa kwanza kusoma hio kozi walishasma na waka graduate weng tu cha msingi msuli mdau "no sweet without sweat" hamna kirahs ila juhudi zako tu majjta 01
Mwana wani Member Joined Aug 6, 2014 Posts 58 Reaction score 9 Sep 21, 2014 #16 ajira ipo vizuri lakini siyo sana...ukipiga electromechanical ndo zakumwaga:A S wink:
Mnyepe Boy Senior Member Joined Apr 17, 2013 Posts 101 Reaction score 16 Sep 21, 2014 #17 Jaby'z said: 2tameet joh mnyepe Click to expand... yap mi utanikuta second yr pale
Satumbo Member Joined Sep 25, 2013 Posts 77 Reaction score 5 Sep 22, 2014 Thread starter #18 Mnyepe Boy said: ajila nje nje, iyo course ina upana mkubwa xana, vp unaenda xomea chuo gani? ?? Click to expand... NIT Mkuu
Mnyepe Boy said: ajila nje nje, iyo course ina upana mkubwa xana, vp unaenda xomea chuo gani? ?? Click to expand... NIT Mkuu
Underdog JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 364 Reaction score 483 Sep 22, 2014 #19 Mnyepe Boy said: yap mi utanikuta second yr pale Click to expand... mkuu ulikuwa D ngapi
Underdog JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 364 Reaction score 483 Sep 22, 2014 #20 Jaby'z said: 2tameet joh mnyepe Click to expand... nitafute mkuu tuzungumze, mi nitakuwa mwaka wa pili pale kwa course hiyo hiyo
Jaby'z said: 2tameet joh mnyepe Click to expand... nitafute mkuu tuzungumze, mi nitakuwa mwaka wa pili pale kwa course hiyo hiyo