Mechanical ->Civil engineering au Mechanical-> Electrical Engineering

Joined
Jul 31, 2023
Posts
72
Reaction score
48
WanaJF hivi inawezekan kwa mtu aliyesoma diploma ya Mechanical kusoma Civil Engineering katika chuo cha UDSM au Ardhi kwa upande wa civil lakini vipi kuhusu kutoka Mechanical Diploma af kusoma Bachelor ya Electrical.

Naomba mwenye majib sahihi anisaidie.

Mtanzania mwenzenu
 
Inawezekana kabisa,kikubwa uwe na GPA ya 3.5 na kuendelea kwa vyuo kama UDSM,Ila kwa vyuo vya technical ni kuanzia GPA ya 3.0.ila kama unabadilisha fani mda wa masomo ni miaka minne sawa na watu wa kidato Cha sita.ila kama fani Yako ni ile ile degree ni miaka mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…