Jaribu kuangalia huyo mwenye tofauti ni chuo gani na coz gani. Kwanza inawezekana chuo chake wanakaa siku nyingi kuliko chako, inawezekana coz yake wanakaa siku nyingi kuliko coz yako (mfano Udom MD, Nursing) wanakaa siku 287 tofaut na coz zingine wanaokaa siku 245. Pia inawezekana gharama za accomodation ni tofauti.