Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika

Hakir fupi izo
 
Wananunua ndege kwa wazungu Cash lakini wanamkopa mkulima wa KOROSHO... Akili zetu tumeshikiwa aisee...
 
Naomba ndugu zangu mlio karibu na mkuu, tuombeeni kabla hajamaliza muda wake Dreamliner au Bombardier ije itue Lituhi katika kumwenzi ndugu yetu marehemu Kapteni John Komba.

Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amen
 
Akili za bunuasi.. ukiwa na ndege yako unaweza kununua dawa ata kwa mkopo nafuu na kutumia usafiri wako!!
Niliwaambien muda mrefu hakuna Mkurugenzi wa serikali anayeweza kushindana na Mkurugenzi wa sekta bnafsi.
ATC chaliiii kifo cha Mende yule wa chooni
 
Hii ni sio akili ni matope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…