Wakuu habari za majukumu,
Ninaomba kama kuna member mwenye namba za simu za Fray Luis Amigo Secondary School iliyoko Kigamboni. Sifahamu mahali shule ilipo zaidi ya general area ya Kigamboni pia katika mtandao hakuna contacts address zao. Ni msaada wa haraka kwa mwenye kufahamu ninaomba aweke hapa. Shukrani sana wadau.