Mchungaji alimtembelea muumini wake, muumini akaandaa chakula safi basi kwa heshima akamkaribisha mchungaji aombee chakula ili wale., Mchungaji akaanza kuomba., libarikiwe shamba lililolimwa chakula hiki, abarikiwa mkulima aliyekilima, abarikiwe aliyevuna, abarikiwe aliyebeba, abarikiwe aliyekoboa, abarikiwe zikawa nyingi mpaka jamaa akakasirika,. akapata wazo kuwa mchungaji ana mke aliyezaa na mwanaume mwingine kabla mchungaji hajamwoa lakini mchungaji hataka mke wake aendelee kuwa karibu na yule jamaa(wivu), muumin akasema taratibu.. Mch. yule aliyezaa na mke wako amepita hapa ameelekea kwako.., Mchungaji kwa haraka haraka akasema, 'AMEEN, ahsante ndugu yangu nimeshiba nitakula siku nyingine'