Mchungaj na waumin!!!

MAN I

Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
7
Reaction score
2
Wakat shamrashamra za pasaka znaendelea kunamchunaj(jinatunalo)altoa kal yamwaka michano ilkua iv nanukuu "kunakiungo kidogo cha mwili kiungo hicho kinafanya watu wagombane,wapatane,wauwane, lakni kikubwa zaid kiungo hcho kinafanya ndugu wagombane kiungo hicho ni......"waumin wote wakamaanisha mchungaj akasema mnawaza zamb kiungo hcho ni ULIMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…