mchumba

dicteta

New Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
3
Reaction score
0
mimi ni mvulana wa miaka 28 naitaji garl kwa ajili ya mausiano ya muda mrefu ,awe na umri wowote na awe dar
 
dicteta linataka mchumba wajameni.....mchumba jiandae kwa u Absolutism , Despotism, Autocracy, Totalitarianism , Communism and Fascism
 
Ili kufanikisha kusudio lako mtafute jamaa anaitwa @SERPENT DRIVER atakusaidia, maana aliwahi kutafuta pia kwa kuweka maelezo kama yako, hivo wasiliana nae upate ufumbuz wa tatzo lako kwani wenda alipata pm nyingi hvo atakuonyesha wanatafuta pia. Good lucky
 
dicteta linataka mchumba wajameni.....mchumba jiandae kwa u Absolutism , Despotism, Autocracy, Totalitarianism , Communism and Fascism

Hahaha!! naona umeamua kudadavua udikteta kwa maana au aina kadha wa kadha...umenikumbusha Civics kidato cha kwanza.
 
dicteta linataka mchumba wajameni.....mchumba jiandae kwa u Absolutism , Despotism, Autocracy, Totalitarianism , Communism and Fascism
silipatii picha litakua kama ALADIN hahaha!!!ngoja wakuje wengne mie akhaa nshajiondoa:llama:
 
mimi ni mvulana wa miaka 28 naitaji garl kwa ajili ya mausiano ya muda mrefu ,awe na umri wowote na awe dar

Hataaaaa, usisumbuke, nenda hapa www.cloudromance.com
JF utadanganywa tu. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…